// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); ROBERTINHO: MPANGO TUTAKAOINGIA NAO WYDAD HAWACHOMOKI KESHO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE ROBERTINHO: MPANGO TUTAKAOINGIA NAO WYDAD HAWACHOMOKI KESHO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
 • HABARI MPYA

  Thursday, April 27, 2023

  ROBERTINHO: MPANGO TUTAKAOINGIA NAO WYDAD HAWACHOMOKI KESHO


  KOCHA Mbrazil wa Simba, Robert Oliveira ‘Robertinho’ amesema kwamba wataingia mbinu nzuri kwenye mchezo kesho dhidi ya wenyeji, Wydad Athletic Club ambao utawawezesha kutinga Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
  Simba itamenyana na Wydad AC kesho Saa 3:00 usiku katika mchezo wa marudiano wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika Uwanja wa Mohamed V Jijini Casablanca ikihitaji sare kwenda Nusu Fainali.
  Hiyo inafuatia vigogo hao wa Tanzania kushinda 1-0 kwenye mchezo wa kwanza uliofanyika Jumamosi iliyopita Uwanja wa Benjamín Mkapa Jijini Dar es Salaam.
  GONGA HAPA KUTAZAMA VIDEO JUMA ROBERTINHO AKIZUNGUMZA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ROBERTINHO: MPANGO TUTAKAOINGIA NAO WYDAD HAWACHOMOKI KESHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top