• HABARI MPYA

  Sunday, April 30, 2023

  TFF YASHUTUSHWA NA TUHUMA ZA RUSHWA LIGI YA CHAMPIONSHIP


  SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limesema kwamba linafuatilia kwa karibu tuhuma za rushwa katika mchezo wa Ligi ya Championship baina ya Fountain Gate na Kitayosce uliofanyika jana Uwanja wa CCM Gairo mkoani Morogoro na kumalizika kwa sare ya bila mabao.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TFF YASHUTUSHWA NA TUHUMA ZA RUSHWA LIGI YA CHAMPIONSHIP Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top