• HABARI MPYA

    Thursday, April 27, 2023

    TANZANIA, KENYA UGANDA ZAUNGANA KUOMBA KUANDAA AFCON 2027


    NCHI za Tanzania, Kenya na Uganda zimeungana kuomba uenyeji wa Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika mwaka 2027.
    Kwa mujibu wa taarifa ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), nchi hizo za Afrika Mashariki zinakabiliwa na upinzani wa Algeria, Botswana na Misri ambazo pia zimeomba uenyeji wa Fainali za 2027.


    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: TANZANIA, KENYA UGANDA ZAUNGANA KUOMBA KUANDAA AFCON 2027 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top