• HABARI MPYA

  Monday, April 17, 2023

  KOCHA WA RUVU YAMEMKUTA KWA ‘KUWABWATUKIA’ AZAM TV


  KOCHA Msaidizi wa Ruvu Shooting, Renatus Shijja amefungiwa mechi tatu na kutozwa faini ya Sh. Milioni 2 jumla kwa kosa la kuwatolea maneno yasiyofaa wafanyakazi wa Azam TV.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KOCHA WA RUVU YAMEMKUTA KWA ‘KUWABWATUKIA’ AZAM TV Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top