• HABARI MPYA

  Saturday, April 15, 2023

  KAMATI YA BUNGE YAZURU KITUO CHA TFF KIGAMBONI


  NAIBU Waziri Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamisi Mwinjuma ‘Mwana FA’ akimsikiliza kwa makini Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia wakati Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo ilipotembelea mradi wa Kituo cha Ufundi cha TFF kilichopo Kigamboni, Dar es Salaam.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KAMATI YA BUNGE YAZURU KITUO CHA TFF KIGAMBONI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top