• HABARI MPYA

  Saturday, April 22, 2023

  DODOMA JIJI YAWACHAPA KMC 1-0 UWANJA WA JAMHURI

   

  BAO pekee la Collins Opare dakika ya 18 limeipa Dodoma Jiji FC ushindi wa 1-0 dhidi ya KMC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma.
  Kwa ushindi huo, Dodoma Jiji FC wanafikisha pointi 31 katika mchezo wa 27 na kusogea nafasi ya tisa, wakati KMC inabaki na pointi zake 26 za mechi 27 nafasi ya 14.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DODOMA JIJI YAWACHAPA KMC 1-0 UWANJA WA JAMHURI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top