• HABARI MPYA

  Wednesday, April 19, 2023

  KIINGILIO CHA CHINI SIMBA NA WYDAD SH 5,000


  KIINGILIO cha chini katika mechi ya kwanza wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika baina ya Simba na mabingwa watetezi, Wydad Casablanca Jumamosi Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam kitakuwa ni Sh. 5,000.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KIINGILIO CHA CHINI SIMBA NA WYDAD SH 5,000 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top