• HABARI MPYA

  Saturday, April 22, 2023

  NABI: RIVERS WALITUFUNGA 2021 KWA SABABU HATUKUWA TAYARI

  KOCHA wa Yanga, Mtunisia Nasredine Nabi amesema walitolewa na Rivers United katika Raundi ya Awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa sababu hawakuwa tayari, lakini kwa sasa wapo vizuri.
  Nabi amesema hayo leo kwenye mkutano na Waandishi wa Habari mjini Uyo, Nigeria kuelekea mchezo wa kwanza wa Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wenyeji, Rivers United Uwanja wa Godswill Akpabio International mjini humo.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NABI: RIVERS WALITUFUNGA 2021 KWA SABABU HATUKUWA TAYARI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top