• HABARI MPYA

  Friday, April 21, 2023

  HAWA NDIO VINARA WA MABAO CHAMPIONSHIP

  MSHAMBULIAJI Edward Songo wa JKT Tanzania ndiye anaongoza kwa mabao katika Ligi ya Championship akiwa amefunga goli 14, akifuatiwa na Ngoy wa Ngoy wa Kitayosce mwenye mabao 13 na Adam Uledi wa Ken Gold tisa.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: HAWA NDIO VINARA WA MABAO CHAMPIONSHIP Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top