• HABARI MPYA

  Saturday, April 29, 2023

  MASHUJAA SIMBA SC MAPEMA KESHO ASUBUHI WAPO DAR


  KIKOSI cha Simba kinatarajiwa kuwasili Dar es Salaam kesho Saa 4:05 asubuhi kikitokea Morocco ambako jana kilitolewa katika Ligi ya Mabingwa Afrika.
  Safari ya Simba SC katika Ligi ya Mabingwa Afrika kwa mara nyingine jana iliishia hatua ya Robo Fainali baada ya kutolewa na mabingwa watetezi, Wydad Club Athletic kwa penalti 4-3 Uwanja wa Mohamed V Jijini Casablanca, Morocco kufuatia sare ya jumla ya 1-1, kila timu ilishinda 1-0 nyumbani kwake.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MASHUJAA SIMBA SC MAPEMA KESHO ASUBUHI WAPO DAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top