// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MAZOEZI YA MWISHO YANGA KABLA YA KUMALIZANA NA WANIGERIA KESHO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MAZOEZI YA MWISHO YANGA KABLA YA KUMALIZANA NA WANIGERIA KESHO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
 • HABARI MPYA

  Saturday, April 29, 2023

  MAZOEZI YA MWISHO YANGA KABLA YA KUMALIZANA NA WANIGERIA KESHO


  NAHODHA wa Yanga, Bakari Nondo Mwamnyeto mazoezini leo Uwanja wa Avic Town, Kigamboni nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam kuelekea mchezo wa marudiano wa Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Rivers United ya Nigeria kesho Uwanja wa Benjamín Mkapa Jijini Dar es Salaam.
  Katika mchezo huo utakaoanza Saa 2:00 usiku Yanga inahitaji hata sare ili kwenda Nusu Fainali baada ya ushindi wa 2-0 kwenye mchezo wa kwanza wiki iliyopita Nigeria.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAZOEZI YA MWISHO YANGA KABLA YA KUMALIZANA NA WANIGERIA KESHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top