• HABARI MPYA

  Thursday, April 20, 2023

  FAINALI ZA LIGI DARAJA LA KWANZA KUWA LIVE AZAM TV

  KAMPUNI ya Azam TV itaonyesha Live mechi za Fainali ya Ligi Daraja la Kwanza zitakazofanyika Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam kuanzia Aprili 24 hadi Mei 3, mwaka huu.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: FAINALI ZA LIGI DARAJA LA KWANZA KUWA LIVE AZAM TV Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top