• HABARI MPYA

  Friday, April 21, 2023

  MAZOEZI YA KWANZA YANGA SC UYO LEO KUIPASHIA RIVERS


  WACHEZAJI wa Yanga SC wakiwa mazoezini leo mjini Uyo, Nigeria kuelekea mchezo wa kwanza wa Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wenyeji, Rivers United Jumapili Uwanja wa Godswill Akpabio International mjini humo. GONGA HAPA KUTAZAMA PICHA ZAIDI

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAZOEZI YA KWANZA YANGA SC UYO LEO KUIPASHIA RIVERS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top