// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); VIINGILIO YANGA NA RIVERS UNITED HIVI HAPA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE VIINGILIO YANGA NA RIVERS UNITED HIVI HAPA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
 • HABARI MPYA

  Wednesday, April 19, 2023

  VIINGILIO YANGA NA RIVERS UNITED HIVI HAPA


  KLABU ya Yanga imetaja viingilio vya mchezo wake wa marudiano wa Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Rivers United ya Nigeria Jumapili ijayo, Aprili 30 Uwanja wa Benjamín Mkapa Jijini Dar es Salaam.
  Viingilio hivyo ni Sh. 5,000 Mzunguko, 10,000 Viti vya Rangi ya Chungwa, 15,000 VIP C, 20,000 VIP B na Sh. 30,000 VIP A.
  Mabingwa hao wa Tanzania, Yanga SC wanatarajiwa kuondoka nchini Alfajiri ya kesho kwenda Nigeria kwa ajili ya mchezo wa kwanza wa dhidi ya wenyeji, Rivers United Jumapili Uwanja wa Godswill Akpabio International mjini Uyo huko Akwa Ibom Kusini mwa Nigeria.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: VIINGILIO YANGA NA RIVERS UNITED HIVI HAPA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top