• HABARI MPYA

  Thursday, April 20, 2023

  AZAM NA SIMBA MEI 6, SINGIDA NA YANGA MEI 7 ASFC


  NUSU Fainali ya kwanza ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) itafanyika Mei 6 Uwanja wa Nangwanda Sijaona mjini Mtwara baina ya Azam FC na Simba SC.
  Nusu Fainali ya pili baina ya Singida Big Stars itafuatia Uwanja wa LITI mjini Singida.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM NA SIMBA MEI 6, SINGIDA NA YANGA MEI 7 ASFC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top