• HABARI MPYA

  Thursday, April 27, 2023

  MAZOEZI YA KWANZA SIMBA SC CASABLANCA


  KOCHA Mbrazil wa Simba, Robert Oliveira ‘Robertinho’ akijadiliana jambo na Nahodha, John Bocco (kushoto) wakati wa mazoezi ya kwanza ya timu baada ya kuwasili Casablanca nchini Morocco jana.
  Simba itamenyana na Wydad AC kesho Saa 4:00 usiku katika mchezo wa marudiano wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika ikihitaji sare kwenda Nusu Fainali kufuatia ushindi wa 1-0 kwenye mchezo wa kwanza Dar es Salaam Jumamosi iliyopita.
  GONGA HAPA KUTAZAMA PICHA ZAIDI
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAZOEZI YA KWANZA SIMBA SC CASABLANCA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top