• HABARI MPYA

  Saturday, April 22, 2023

  SPIKA TULIA AMKABIDHI KAPTENI BOCCO 'MAMILIONI YA MAMA SAMIA'


  SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson (kulia) akimkabidhi Nahodha wa Simba, John Bocco fedha taslimu, Sh. Milioni 5 zawadi kutoka kwa Rais, Dk. Samia Suluhu Hassan kutokana na ushindi wa bao 1-0 leo dhidi ya mabingwa wa Afrika katika mchezo wa Robo Fainali ya Kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
    Kushoto ni Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SPIKA TULIA AMKABIDHI KAPTENI BOCCO 'MAMILIONI YA MAMA SAMIA' Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top