• HABARI MPYA

  Saturday, April 15, 2023

  VIJANA WASIKIVU MAYELE NA AZIZ KI MAZOEZINI YANGA


  WASHAMBULIAJI wa Yanga, Fiston Kalala Mayele (9) na Stephane Aziz Ki wakisikiliza mawaidha ya kocha (hayupo pichani) wakati wa mazoezi ya mwisho leo Uwanja wa Avic Town, Kigamboni kabla ya mechi dhidi ya watani, Simba SC kesho Uwanja wa Benjamín Mkapa Jijini Dar es Salaam.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: VIJANA WASIKIVU MAYELE NA AZIZ KI MAZOEZINI YANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top