• HABARI MPYA

  Friday, April 14, 2023

  CLATOUS CHAMA ANAVYOJIANDAA KUWAFANYA KITU YANGA


  KIUNGO Mzambia wa Simba, Clatous Chama akiwa mazoezini Uwanja wa Mo Simba Arena, Bunju Jijini Dar es Salaam kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya watani wa jadi, Yanga Jumapili Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. GONGA HAPA KUTAZAMA PICHA ZAIDI.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CLATOUS CHAMA ANAVYOJIANDAA KUWAFANYA KITU YANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top