• HABARI MPYA

  Sunday, April 30, 2023

  MAN UNITED WAIZABA ASTON VILLA 1-0 OLD TRAFFORD


  BAO pekee la Bruno Fernandes dakika ya 39 limeipa Manchester United ushindi wa 1-0 dhidi ya Aston Villa leo Uwanja wa Old Trafford Jijini Manchester na kujiongezea matumaini ya kufuzu Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu ujap.
  Ushindi unaifanya Manchester United ifikishe pointi 63 katika mchezo wa 32, ingawa wanabaki nafasi ya nne wakizidiwa pointi mbili na Newcastle United ambayo pia imecheza mechi moja zaidi, wakati Aston Villa inabaki na pointi 54 za mechi 34 nafasi ya sita.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN UNITED WAIZABA ASTON VILLA 1-0 OLD TRAFFORD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top