• HABARI MPYA

  Monday, April 24, 2023

  MUSSA MGOSI AWASHAURI SIMBA CHA KUFANYA MARUDIANO NA WYDAD

  MSHAMBULIAJI wa zamani wa Simba ametoa maoni yake kuelekea mchezo wa marudiano wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya mabingwa watetezi, Wydad Athletic Club Ijumaa ijayo mjini Casablanca, Morocco.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MUSSA MGOSI AWASHAURI SIMBA CHA KUFANYA MARUDIANO NA WYDAD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top