• HABARI MPYA

  Saturday, April 22, 2023

  MAZOEZI YA MWISHO YANGA LEO KABLA YA KUIVAA RIVERS KESHO


  KIUNGO wa Kimataifa wa Burkina Faso, Stepahnie Aziz Ki Nabi akiwa kwenye mazoezi ya Yanga leo Uwanja wa Godswill Akpabio International mjini Uyo, Nigeria kuelekea mchezo wa kwanza wa Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wenyeji, Rivers United kesho. PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAZOEZI YA MWISHO YANGA LEO KABLA YA KUIVAA RIVERS KESHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top