• HABARI MPYA

  Tuesday, April 25, 2023

  WAWILI SIMBA WAINGIA KIKOSI CHA WIKI LIGI YA MABINGWA


  NYOTA Wakongo wa Simba, beki Henock Inonga Baka ‘Varane’ na mshambuliaji Jean Othos Baleke wameingia kwenye kikosi cha Wiki cha Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya mechi za kwanza mwishoni mwa wiki.
  Simba ilishinda 1-0 dhidi ya Mabingwa watetezi, Wydad Athletics Club katika mchezo wa kwanza ww Robo Fainali Jumapili Dar es Salaam na timu hizo zitarudiana Ijumaa Casablanca.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WAWILI SIMBA WAINGIA KIKOSI CHA WIKI LIGI YA MABINGWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top