BAO pekee la Gustapha Simon dakika ya 54 limeipa Coastal Union ushindi wa 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga. Kwa ushindi huo, Coastal Union wanafikisha pointi 30 na kusogea nafasi ya 10 wakiishushia nafasi ya 11 Mtibwa Sugar inayobaki na pointi zake 29 baada ya wote kucheza mechi 27.
Atalanta needs Lookman’s magic – Gasperine
-
•Club coach ponders Injured Nigerian return Atalanta coach Gian Pero
Gasperini is banking on Super Eagles forward Ademola Lookman to lead their
comeback ...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment