• HABARI MPYA

  Friday, April 21, 2023

  BILIONEA MO DEWJI AKUTANA NA WACHEZAJI SIMBA


  RAIS wa Heshima wa klabu ya Simba, Mohamed ‘Mo Dewji’ leo amekutana na kuwatia motisha wachezaji kuelekea mchezo wa kwanza wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya mabingwa watetezi, Wydad Casablanca kesho Uwanja wa Benjamín Mkapa Jijini Dar es Salaam.
  GONGA HAPA KUTAZAMA PICHA ZAIDI.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BILIONEA MO DEWJI AKUTANA NA WACHEZAJI SIMBA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top