• HABARI MPYA

    Thursday, April 20, 2023

    SIMBA NA YANGA YAINGIZA SH MILIONI 410


    MCHEZO wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baina ya watani wa jadi, Simba na Yanga uliofanyika Jumapili iliyopita Uwanja wa Benjamín Mkapa Jijini Dar es Salaam umeingiza kiasi cha Sh. Milioni 410 na ushei.
    Lakini katika mgawanyo wa mapato hayo, timu mwenyeji, Simba SC iliyowachapa watani 2-0 imepata kisi Sh. Milioni 188 na ushei.


    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA NA YANGA YAINGIZA SH MILIONI 410 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top