• HABARI MPYA

  Friday, April 14, 2023

  RAIS MSTAAFU WA MSUMBIJI, CHISSANO AKICHEZA BAO NA WAZIRI PINDI CHANA


  WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Balozi Dk. Pindi Chana akicheza Bao na Rais Mstaafu wa Msumbiji, Joaquim Alberto Chissano ambaye leo alitembelea Kituo cha Programu ya Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika kilichopo Posta Jijini Dar es Salaam. GONGA HAPA KUTAZAMA PICHA ZAIDI.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RAIS MSTAAFU WA MSUMBIJI, CHISSANO AKICHEZA BAO NA WAZIRI PINDI CHANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top