• HABARI MPYA

  Thursday, April 27, 2023

  LIVERPOOL YAICHAPA WEST HAM UNITED 2-1 LONDON


  TIMU ya Liverpool jana ilitoka nyuma na kushinda 2-1 dhidi ya West Ham United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa London.
  Lucas Paquetá alianza kuifungia West Ham United dakika ya 12, kabla ya Cody Gakpo kuisawazishia Liverpool dakika ya 18 na Job Joel Matip kufunga la ushindi dakika ya 67.
  Kwa ushindi huo, Liverpool inafikisha pointi 53 katika mchezo wa 32 na kusogea nafasi ya sita, wakati West Ham Unitedinabaki na pointi zake 34 za mechi 32 pia nafasi ya 14.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YAICHAPA WEST HAM UNITED 2-1 LONDON Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top