• HABARI MPYA

  Thursday, April 20, 2023

  YANGA WALIVYOWASILI LAGOS KUIVAA RIVERS UNITED JUMAPILI


  WACHEZAJI wa Jesus Moloko (kushoto) na Fiston Kalala Mayele (kulia) baada ya kuwasili Jijini Lagos nchini Nigeria leo kwa ajili ya mchezo na wenyeji, Rivers United Jumapili.
  Yanga itamenyana na Rivers katika mchezo wa kwanza wa Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika Jumapili Uwanja wa Godswill Akpabio International mjini Uyo huko Akwa Ibom Kusini mwa Nigeria, kabla ya timu hizo kurudiana Aprili 30 Dar es Salaam.
  GONGA HAPA KUTAZAMA VIDEO 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA WALIVYOWASILI LAGOS KUIVAA RIVERS UNITED JUMAPILI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top