• HABARI MPYA

  Tuesday, April 25, 2023

  BODI YA FILAMU YASAINI MKATABA WA USHIRIKIANO NA KOREA KUSINI


  WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt.Pindi Chana @pindi.chana akishuhudia utiaji saini wa Makubaliano ya Ushirikiano kati ya Bodi ya Filamu Tanzania na Taasisi ya Mashirikiano Kimataifa (BFIC) kutoka Korea Kusini leo Aprili 24, 2023 Mtumba jijini Dodoma.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BODI YA FILAMU YASAINI MKATABA WA USHIRIKIANO NA KOREA KUSINI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top