UONGOZI wa Azam FC leo asubuhi umekutana na wachezaji kujadiliana mambo mbalimbali kuelekea mechi zao zijazo kuanzia wa Jumapili wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara dhidi ya mabingwa watetezi, Yanga Uwanja wa Benjamín Mkapa Jijini Dar es Salaam.
GONGA HAPA KUTAZAMA PICHA ZAIDI
0 comments:
Post a Comment