• HABARI MPYA

  Saturday, March 09, 2024

  BODI YAUFUNGIA UWANJA WA JAMHURI MOROGORO KWA MECHI ZA LIGI KUU

  BODI ya Ligi Kuu ya Tanzania (TPLB) imeufungia Uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro kwa mechi za Ligi Kuu kutokana na mapungufu kadhaa yanayoathiri urushaji wa matangazo ya moja kwa moja ya Televisheni.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BODI YAUFUNGIA UWANJA WA JAMHURI MOROGORO KWA MECHI ZA LIGI KUU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top