• HABARI MPYA

  Tuesday, March 19, 2024

  UJENZI UWANJA MPYA WA KISASA WA KABUMBU ARUSHA MAMBO YAIVA


  KATIBU Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa (kushoto) akisaini Mkataba na Mkandarasi China Southwest Architectural Design and Research Institute Corp. Ltd kwa ajili ya ujenzi wa Uwanja mpya wa kisasa Soka Jijini Arusha katika hafla iliyofanyika leo Jijini Dar es Salaam.
  Zoezi hilo limeshuhudiwa na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo, Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dk. Damas Ndumbaro, Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongela na viongozi wengine wa Wizara hiyo. 
  GONGA KUTAZAMA PICHA ZAIDI
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: UJENZI UWANJA MPYA WA KISASA WA KABUMBU ARUSHA MAMBO YAIVA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top