MABINGWA watetezi, Manchester City wametoa ya bila mabao na Arsenal katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo leo Uwanja wa Etihad Jijini Manchester.
Matokeo hayo yanaifanya Manchester City ifikishe pointi 64, ingawa inabaki nafasi ya tatu ikizidiwa pointi moja na Arsenal na wote wakiwa nyuma ya Liverpool yenye pointi 67 kufuatia timu zote kucheza mechi 29.
0 comments:
Post a Comment