• HABARI MPYA

  Monday, March 11, 2024

  KIPA WA COASTAL MCHEZAJI BORA FEBRUARI LIGI KUU, GAMONDI KOCHA BORA


  KIPA Mkongo wa Coastal Unión, Vumi Ley Matampi (34) amechaguliwa Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara mwezi Februari huku Muargentina wa Yanga, Miguel Ángel Gamondi akishinda Tuzo ya Kocha Bora mwezi huo.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KIPA WA COASTAL MCHEZAJI BORA FEBRUARI LIGI KUU, GAMONDI KOCHA BORA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top