• HABARI MPYA

  Wednesday, March 13, 2024

  KAGERA SUGAR NA MTIBWA SUGAR NGOMA DROO KAITABA, 0-0


  WENYEJI, Kagera Sugar wamelazimishwa sare ya bila mabao na ndugu zao, Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba.
  Kwa matokeo hayo, Kagera Sugar inafikisha pointi 24 katika mchezo wa 21 na kusogea nafasi ya saba, wakati Mtibwa Sugar inafikisha pointi 16 katika mchezo wa 20, ingawa inaendelea kushika mkia.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KAGERA SUGAR NA MTIBWA SUGAR NGOMA DROO KAITABA, 0-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top