• HABARI MPYA

  Tuesday, March 12, 2024

  CHELSEA YAICHAPA NEWCASTLE UNTED 3-2. STAMFORD BRIDGE


  WENYEJI, Chelsea usiku wa Jumatatu wameibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Newcastle United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Stamford Bridge Jijini London.
  Mabao ya Chelsea yamefungwa na Nicolas Jackson dakika ya sita, Cole Palmer dakika ya 57 na Mykhaylo Mudryk dakika ya 76, wakati ya Newcastle United yamefungwa na Alexander Isak dakika ya 43 na Jacob Murphy dakika ya 90.
  Kwa ushindi huo, Chelsea inafikisha pointi 39 katika mchezo wa 27, ngawa inabaki nafasi ya 11, ikizidiwa pointi moja na Newcastle United ambayo pia imecheza mechi moja zaidi.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHELSEA YAICHAPA NEWCASTLE UNTED 3-2. STAMFORD BRIDGE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top