• HABARI MPYA

  Monday, March 18, 2024

  TAIFA STARS WADAMKIA SAFARI YA AZERBAIJANI KWENYE MICHUANO YA FIFA


  KIKOSI cha timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kimeondoka leo kwenda Azerbaijani kwa ajili ya mashindano mapya na mafupi ya Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) yajulikanayo kama FIFA Series.
  Michuano hiyo itafanyika kuanzia Machi 18 hadi 24 katika nchi nne tofauti na Taifa Stars watakuwa Kundi moja na wenyeji, Azerbaijan, Bulgaria na Mongolia.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TAIFA STARS WADAMKIA SAFARI YA AZERBAIJANI KWENYE MICHUANO YA FIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top