• HABARI MPYA

  Monday, March 25, 2024

  NYONI NA ULIMWENGU WAFUTIWA KADI NYEKUNDU YA KIRUMBA


  BEKI wa Namungo FC, Erasto Edward Nyoni na mshambuliaji wa Singida Fountain Gate, Thomas Emmanuel Ulimwengu wamefutiwa kadi nyekundu waliyoonyeshwa katika mchezo baina ya timu zao Machi 16 Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.
  Singida Fountain Gate waliibuka na ushindi wa 1-0 kwenye mechi hiyo, kabla ya Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi kupitia upya taarifa na matukio ya mchezo huo na kufuta adhabu ya Nyoni na Ulimwengu.
  GONGA HAPA KUSOMA TAARIFA ZAIDI
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NYONI NA ULIMWENGU WAFUTIWA KADI NYEKUNDU YA KIRUMBA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top