• HABARI MPYA

  Saturday, March 16, 2024

  UONGOZI YANGA WAKUTANA SERENA KABLA YA KUIVAA AZAM KESHO


  RAIS wa Yanga SC, Hersi Ally Said leo ameongoza kikao maalum cha Kamati ya Utendaji kilichofanyika katika ukumbi wa Mikutano hoteli ya Serena Jijini Dar Es Salaam kuelekea mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Azam FC Uwanja wa Benjamín Mkapa Jijini.
  Taarifa ya Yanga imesema kikao kilijadili zaidi ajenda mbili, Hatua ya mchakato wa mabadiliko ya uendeshaji wa Klabu na Ujenzi wa Uwanja wa klabu makao makuu, Jangwani Jijini Dar es Salaam.
  GONGA HAPA KUTAZAMA PICHA ZAIDI
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: UONGOZI YANGA WAKUTANA SERENA KABLA YA KUIVAA AZAM KESHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top