• HABARI MPYA

  Thursday, March 14, 2024

  COASTAL UNION YAICHAPA IHEFU SC 1-0 MKWAKWANI


  BAO pekee la kiungo Lucas Almeida Kikoti dakika ya 25 kwa penalti limeipa Coastal Unión ushindi wa 1-0 dhidi ya Ihefu SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga.
  Kwa ushindi huo, Coastal Unión inafikisha pointi 30 na kupanda nafasi ya nne, wakati Ihefu SC inabaki na pointi zake 23 nafasi ya 20 baada ya wote kucheza mechi 21.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: COASTAL UNION YAICHAPA IHEFU SC 1-0 MKWAKWANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top