• HABARI MPYA

  Monday, March 25, 2024

  SIMBA SC YATOZWA FAINI KWA VITENDO VYA USHIRIKINA


  KLABU ya Simba SC imetozwa faini ya Sh. Milioni 1 kwa kosa la mashabiki wake kuingia uwanjani na kwenda golini kuchimba kutoa vitu, ambayo imetafsiriwa ni imani za Kishirikina.
  Tukio hilo lilifanyika katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baina ya Simba SC na Mashujaa FC ya Kigoma Machi 15 Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar Salaam ambao Wekundu hao wa Msimbazi walishinda 2-0.
  GONGA HAPA KUSOMA TAARIFA ZAIDI
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC YATOZWA FAINI KWA VITENDO VYA USHIRIKINA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top