• HABARI MPYA

  Thursday, March 07, 2024

  DODOMA JIJI YAICHAPA TABORA UNITED 1-0 JAMHURI


  BAO la dakika ya 90 la mshambuliaji Hassan Mwaterema limewapa wenyeji, Dodoma Jiji FC ushindi wa 1-0 dhidi ya Tabora United katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku wa jana Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma.
  Kwa ushindi huo, Dodoma Jiji inafikisha pointi 23 katika mchezo wa 19 na kusogea nafasi ya tisa, wakati Tabora United wanabaki na pointi zao 21 za mechi 20 sasa nafasi ya 13.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DODOMA JIJI YAICHAPA TABORA UNITED 1-0 JAMHURI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top