• HABARI MPYA

  Tuesday, March 05, 2024

  ONYANGO APIGA BAO PEKEE IHEFU YAIKANDA KMC 1-0 LITI


  BAO la beki Mkenya, Joash Onyango dakika ya 20 limeipa Ihefu SC ushindi wa 1-0 dhidi ya KMC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC leo Uwanja wa LITI mjini Singida.
  Kwa ushindi huo, Ihefu SC inafikisha pointi 23 katika mchezo wa 19 na kusogea nafasi ya saba, wakati KMC inabaki na pointi zake 25 za mechi 20 nafasi ya tano.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ONYANGO APIGA BAO PEKEE IHEFU YAIKANDA KMC 1-0 LITI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top