• HABARI MPYA

  Wednesday, March 13, 2024

  TFF YASEMA SAMATTA AMEJITOA MWENYEWE TAIFA STARS


  NAHODHA wa timu ya taifa ya Tanzania, Mbwana Ally Samatta ameomba kutojumuishwa kwenye kikosi cha Taifa Stars kwa ajili ya mashindano mapya na mafupi ya Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA).
  Michuano hiyo inayojulikana kama FIFA Series itafanyika kuanzia Machi 18 hadi 24 katika nchi nne tofauti na Taifa Stars watakuwa kituo cha Azerbaijan pamoja na wenyeji, Azerbaijan, Bulgaria na Mongolia.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TFF YASEMA SAMATTA AMEJITOA MWENYEWE TAIFA STARS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top