• HABARI MPYA

  Tuesday, March 19, 2024

  PACOME AITWA KIKOSI CHA IVORY COAST KUWAVAA URUGUAY


  KOCHA Emerse Fae amemjumuisha kiungo wa Yanga, Peodoh Pacome Zouzoua katika kikosi cha timu ya taifa ya Ivory Coast kwa ajili ya mechi za kirafiki dhidi ya Benin na Uruguay wiki ijayo.
  Kikosi kamili cha Ivory Coast kwa ajili ya mechi hizo kinaundwa na makipa;Yahia Fofana, Badra Ali Sangaré na Folly Charles Ayayi.
  Mabeki: Wilfried Singo, Evan Ndicka, Odilon Kossounou, Ghislain Konan, Ousmane Diomande, Chester Diallo, Willy Boly na Guela Doué.
  Viungo: Lazare Amani, Idrissa Doumbia, Seko Fofana, Franck Kessié, J.M Seri, Ibrahim Sangaré na Pacome Zouzoua.
  Washambuliaji: Simon Adingra, Jonathan Bamba, Jérémie Boga Oumar Diakité, Max Gradel, Karim Konaté, Jean Philippe Krasso na Nicolas Pépé.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: PACOME AITWA KIKOSI CHA IVORY COAST KUWAVAA URUGUAY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top