• HABARI MPYA

  Sunday, March 03, 2024

  TABORA UNITED YAJIONDOA ‘DANGER ZONE’ BAADA YA KUICHAPA COASTAL UNION 1-0


  BAO pekee la beki Mkongo, Andy Bikoko Lobulka dakika ya tatu limeipa Tabora United ushindi wa 1-0 dhidi ya Coastal Unión katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora.
  Kwa ushindi huo, Tabora United inafikisha pointi 21 katika mchezo wa 19 na kuchupa kutoka nafasi ya 14 hadi ya tisa, wakati Coastal Unión inabaki na pointi zake 26 za mechi 18 sasa nafasi ya nne.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TABORA UNITED YAJIONDOA ‘DANGER ZONE’ BAADA YA KUICHAPA COASTAL UNION 1-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top