• HABARI MPYA

  Friday, March 15, 2024

  CHAMA APIGA ZOTE SIMBA SC YAICHAPA MAAHUJAA 2-0


  TIMU ya Simba SC imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mashujaa FC ya Kigoma katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam.
  Mabao yote ya Simba SC leo yamefungwa na kiungo Mzambia, Clatous Chotta Chama dakika ya 57 na 73 na kwa ushindi huo, Wekundu wa Msimbazi wanafikisha pointi 45 na kusogea nafasi ya pili ikizidiwa pointi saba na mabingwa watetezi,  Yanga SC baada ya wote kucheza mechi 19. Wakati Mashujaa ibaki na pointi zake 21 za mechi 21 nafasi ya 12.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHAMA APIGA ZOTE SIMBA SC YAICHAPA MAAHUJAA 2-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top