• HABARI MPYA

  Wednesday, March 13, 2024

  MOROCCO AITA 23 KUUNDA TAIFA STARS YA FIFA SERIES AZERBAIJAN


  KAIMU Kocha Mkuu wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Hemed Suleiman ‘Morocco’ ameteua wachezaji 23 kwa ajili ya mashindano mapya na mafupi ya Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) yajulikanayo kama FIFA Series.
  Michuano hiyo itafanyika kuanzia Machi 18 hadi 24 katika nchi nne tofauti na Taifa Stars watakuwa kituo cha Azerbaijan pamoja na wenyeji, Azerbaijan, Bulgaria na Mongolia.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MOROCCO AITA 23 KUUNDA TAIFA STARS YA FIFA SERIES AZERBAIJAN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top