• HABARI MPYA

  Thursday, March 14, 2024

  AL HILAL NA SIMBA ZATUMA MAOMBI KUMNUNUA DUBE AZAM


  KLABU za Al Hilal ya Sudan na Simba SC zimewasilisha ofa Azam FC kuomba kumnunua mshambuliaji Mzimbabwe, Prince Dube Mpumelelo aliyeomba kuondoka.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AL HILAL NA SIMBA ZATUMA MAOMBI KUMNUNUA DUBE AZAM Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top